IRAN YAONGEZA SHUGHULI KWENYE KITUO CHA NYUKLIA - PICHA ZA SATELAITI ZAFICHUA ENEO LA MINZADEHEI...
Global TV Online
0:00 / 0:00
IRAN YAONGEZA SHUGHULI KWENYE KITUO CHA NYUKLIA - PICHA ZA SATELAITI ZAFICHUA ENEO LA MINZADEHEI...
12 808 просмотров · 17 ч назад
Global TV Online
5,96 млн подписчиков
12 808 просмотров · 17 ч назад
IRAN YAONGEZA SHUGHULI KWENYE KITUO CHA NYUKLIA - PICHA ZA SATELAITI ZAFICHUA ENEO LA MINZADEHEI...
Uchambuzi mpya wa picha za satelaiti umeonyesha kuongezeka kwa shughuli katika eneo la Minzadehei, kituo cha siri cha nyuklia kilichoko kaskazini-mashariki mwa Tehran nchini Iran, ambacho kilishambuliwa na Israel mwezi Machi mwaka huu. Taarifa hiyo imetolewa na Taasisi ya Sayansi na Usalama wa Kimataifa, ambayo ilichambua picha zenye ubora wa juu zilizopigwa na kampuni ya VANTOR Technologies katika kipindi cha Septemba na Oktoba 2026. Kwa mujibu wa taasisi hiyo, picha hizo zinaonyesha kurejea kwa shughuli za magari katika eneo hilo pamoja na kazi zinazoendelea za kusafisha na kuchimba ardhi.
============================================================
⚫️ JE, UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968)
⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com