Перейти к содержимому

#LIVE: MAOMBI YA KUFUTA ALAMA ZA ADUI MAISHANI MWAKO

SIRI ZA BIBLIA

0:00 / 0:00

#LIVE: MAOMBI YA KUFUTA ALAMA ZA ADUI MAISHANI MWAKO

6 726 просмотров · Трансляция закончилась 1 г. назад
SIRI ZA BIBLIA
194 тыс. подписчиков
6 726 просмотров · Трансляция закончилась 1 г. назад
Waefeso 4:30-32 Msimhuzunishe Roho Mtakatifu wa Mungu, maana Roho huyo ni alama ya Mungu kwenu kwamba nyinyi ni watu wake, na thibitisho kwamba siku itakuja ambapo Mungu atawakomboeni. Basi, achaneni na uhasama, chuki, hasira, kelele na matusi. Acheni kila uovu! Muwe na moyo mwema na wenye kuhurumiana; kila mmoja na amsamehe mwenzake kama naye Mungu alivyowasamehe nyinyi kwa njia ya Kristo. Pastor Innocent Mashauri +255 758 708804 Whatssap text, Call SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI: M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI