Namna ya kupika cake za biashara zenye faida
Pika na Asha
0:00 / 0:00
Namna ya kupika cake za biashara zenye faida
1 401 просмотр · 3 недели назад
Pika na Asha
985 подписчиков
1 401 просмотр · 3 недели назад
SOFT, MOIST & DELICIOUS! ❤️🍰
Karibu tena kwenye channel yangu! 🥰 Leo nimekuandalia Sponge Red Velvet Cake yenye rangi nzuri, texture laini, soft na ladha tamu ya kuvutia. 😋🎂
Katika video hii utaona hatua kwa hatua jinsi ya kuandaa sponge red velvet cake ambayo unaweza kuandaa kwa ajili ya birthday, graduation, wedding, anniversary au hata biashara yako ya cakes. 🎉🎓💍
👉 Usisahau:
❤️ Like video
💬 Acha comment yako
🔔 Subscribe kwenye channel na bonyeza notification bell
📲 Share video hii na marafiki na familia
Asante sana kwa kuendelea kuni-support. ❤️ Subscribe sasa ili usikose video zangu mpya za baking, cakes & bites! 🎂🧁🍪
#RedVelvetCake #RedVelvet #SpongeCake #CakeRecipe #Baking #CakeBaking #BakingTutorial #HowToBake #CakeLovers #HomeBaking #CakeDecorating #CakesAndBites #SwahiliYouTuber #TanzaniaYouTuber #BakingInTanzania #AshaSweetCakes #Subscribe #YouTubeTanzania