🔴 LIVE:IBADA YA JUMAPILI TAR 20/SEPT/2026
Charity of Hope Community Church Television
0:00 / 0:00
🔴 LIVE:IBADA YA JUMAPILI TAR 20/SEPT/2026
66 просмотров · 3 дня назад
Charity of Hope Community Church Television
232 подписчика
66 просмотров · 3 дня назад
Karibu katika Ibada ya leo Mubashara kutoka Charity of Hope Community Church. Ungana nasi kusifu, kuabudu na kulipokea Neno la Mungu litakalobadilisha maisha yako leo tarehe
📌 KUMBUKA: Ku-SUBSCRIBE, KU-LIKE, KU-SHARE NA KU-COMMENT ili uendelee kubarikiwa na vipindi na mafundisho yetu kila wakati.
📍 JINSI YA KUFIKA KANISANI KWETU: Shukia kituo kinaitwa AFRICANA, panda bajaji au usafiri wowote mwambie unafika SALASALA MAGENGENI (Kona ya Miko). Ulizia Kanisa la HOPE hapo utakuwa umefika.
🙌 SADAKA NA MAOMBEZI: Unaweza kumtolea Mungu sadaka yako au kutoa shukrani kwa ajili ya maombezi kupitia: 📞 M-PESA: +255 792 500 736 (juliana sweke)
CHINI YA MTUMISHI WA MUNGU BISHOP,DR JULIANA SWEKE - 0755 500 736
📱 TUFUATILIE KWENYE MITANDAO YA KIJAMII:
Instagram: hopecommunitychurch
Facebook: charityofhopecommunitychurch
YouTube: Charity of Hope Community Church
📧 KWA MAONI NA USHAURI: Kama una jambo lolote, wasiliana nasi moja kwa moja kupitia:
Simu: +255 755 500 736
Barua Pepe: charityofhopecommunitychurch@gmail.com
#CharityOfHope #LiveIbada #Salasala #HopeCommunityChurch #Injili #Maombi #SundayLive #TanzaniaChurch