DOSARI EPISODE 44
Brenda Malembeka TV
0:00 / 0:00
DOSARI EPISODE 44
9 187 просмотров · 1 мес. назад
Brenda Malembeka TV
9,48 тыс. подписчиков
9 187 просмотров · 1 мес. назад
Dosari imefikia kutamu sana!!! Maadui wa Queen wanataka kumuangamiza kabla hajawafikia, je watafanikiwa? Wakati huohuo Malik anaingia anga za Queen je atatoboa? Zena anafanya maamuzi magumu sana yanayomshtua Queen, je ni maamuzi yapi?.
Angalia Dosari Episode 44.
Usisahau ku SUBSCRIBE.
____________
Boss wangu kama umependa na kuguswa na kazi hii na ungependa kunisaidia niendelee kukuletea vipindi bora zaidi, naomba unichangie kupitia namba za;
MPESA
Namba: 0749069396
Jina: BRENDA MALEMBEKA
au
CRDB
Namba: 10530631667
Jina: BRENDA MALEMBEKA
Kiasi chochote utachotoa kitasaidia kuleta vipindi bora zaidi.
Asante sana na Mungu akubariki sana.
#brendamalembekatv #dosari