| MWANAMKE BOMBA | Irene Khaoya anafanya biashara ya kupasua miti
Citizen TV Kenya
0:00 / 0:00
| MWANAMKE BOMBA | Irene Khaoya anafanya biashara ya kupasua miti
4 701 просмотр · 4 года назад
Citizen TV Kenya
6,68 млн подписчиков
4 701 просмотр · 4 года назад
Kuathirika kwa biashara yake ya kuuza pombe kufuatia bomoa bomoa ilikuwa mwanzo wa maisha yake mapya.Irene Khaoya sasa anatoa Ajira kwa wanawake wengi kupitia kazi yake ya kupasua mbao katika kijiji cha kinyoro huko transnzoia. Hii leo bi irene ndiye anayetupambia makala yetu ya mwanamke bomba.