NINAO USHUHUDA||THE ECHOES OF JOY||VISION STUDIOZ
THE ECHOES OF JOY-KENYA
0:00 / 0:00
NINAO USHUHUDA||THE ECHOES OF JOY||VISION STUDIOZ
26 542 просмотра · 1 месяц назад
THE ECHOES OF JOY-KENYA
37,1 тыс. подписчиков
26 542 просмотра · 1 месяц назад
Ninao ushuhuda kamili ndani yangu huyu Yesu mmmmh huyu Mungu hakika yu wa pekee, nilifanana na kifo, nilikuwa wa kutupwa mimi huyu yesu mmmmh huyu Mungu hakika yuwapekee ( Hali niliyofikia watu walitoa machozi) huyu Yesu mmmmh Huyu Mungu hakika yowapekee
yunamimi haniachi, hunipanguza machozi yangu, anipenda mwokozi kweli yuanipenda. katika waliokufa eti mimi si mmoja wao, anipenda mwokozi Yesu yuanipenda.
Anipenda mwokozi kweli yuanipenda katika majani tulivu katikati ya maji mazuri nijapopita katikati ya hatari sitahofu usiogope ndugu yangu, usilie ni kitambo tuu wakati mwingine huyaruhusu yatukomaze myoyo
#sda #sdachoirs #trending #challenge #ushuhuda