Перейти к содержимому

Mulika Jamii Media :.Watu wenye ulemavu wahimizwa kuchangamkia fursa za mikopo

Mulika Jamii Media

0:00 / 0:00

Mulika Jamii Media :.Watu wenye ulemavu wahimizwa kuchangamkia fursa za mikopo

9 просмотров · 2 недели назад
Mulika Jamii Media
16 подписчиков
9 просмотров · 2 недели назад
Watu wenye ulemavu katika Halmashauri ya Wilaya ya Masasi, wanahimizwa kuchangamkia fursa za mikopo isiyo na riba ya asilimia 10 inayotolewa na Serikali ili kujikwamua kiuchumi. Kiasi maalumu kinacholengwa kutoka kwenye mikopo hiyo kwa ajili ya makundi ya watu wenye ulemavu ni asilimia 2%. Sospeter Lucas Nyagalu ni Afisa Maendeleo ambaye pia ni Mratibu wa watu wenye ulemavu katika Halmashauri ya WilYa ya Masasi. #Mulikajamiimedia