UWEKEZAJI WA MUNGU NDANI YAKO
Celestial Embrace Ministry
0:00 / 0:00
UWEKEZAJI WA MUNGU NDANI YAKO
44 просмотра · 4 мес. назад
Celestial Embrace Ministry
178 подписчиков
44 просмотра · 4 мес. назад
SEMINA YA VIJANA "Hakuna aliyekuja Duniani kwa Bahati mbaya, kila mtu ana kusudi lake kwaajili ya kumzalia Mungu matunda.
Kama tunavyojua huu ni wakati wa uamsho hasa kwa wewe kijana, Mavuno ni mengi watenda kazi ni wachache. Mungu anapowekeza kwako anategemea faida kutoka kwako.
Litambue kusudi lako, na mwenza wako alijue hilo kusudi lako ili Mungu aweze kudhihirika na kilete faida kwa wengine na Ufalme wa Mungu.
Uwekezaji wa Mungu kwako unahusishwa na Roho Mtakatifu".