ACHA KULALAMIKIA WATU! Fanya Hivi Mungu Abadilishe Maisha Yako
PAULO NKINGI и CEPTE. TEMPLE DE L'ÉTERNEL
0:00 / 0:00
ACHA KULALAMIKIA WATU! Fanya Hivi Mungu Abadilishe Maisha Yako
137 просмотров · 2 месяца назад
PAULO NKINGI и CEPTE. TEMPLE DE L'ÉTERNEL
137 просмотров · 2 месяца назад
Je, unalalamika kwa sababu huna kazi, una shida, au ndugu na marafiki wamekulaumu?
Wanadamu hawana majibu ya shida zako — Mungu pekee ndiye anayejua magumu yako na safari yako ya maisha! Tazama video hii hadi mwisho upate kuelewa siri ya kuacha manung'uniko na kumtegemea Kristo.
Jiunge na mazungumzo kwenye Comments:
"Je, uliwahi kunung'unikia watu ukapata suluhisho?" Andika maoni yako hapa chini, nitasoma na kukujibu!
---
Usisahau:
1. Ku-LIKE video hii ili iwafikie wengi zaidi.
2. Ku-SUBSCRIBE kwenye channel hii kwa ajili ya mafundisho zaidi.
3. Ku-SHARE na mtu yeyote anayehitaji amani na matumaini leo.
#MunguNiMwema #MafundishoYaKiroho #Ukristo #Amani #Matumaini #SwahiliPodcasts