Перейти к содержимому

IBADA MAALUM: KUJENGA UFALME WA MUNGU NA KUBOMOA UFALME WA GIZA - AGOSTI 2023

Minister Mocky

0:00 / 0:00

IBADA MAALUM: KUJENGA UFALME WA MUNGU NA KUBOMOA UFALME WA GIZA - AGOSTI 2023

2 728 просмотров · 3 года назад
Minister Mocky
21,8 тыс. подписчиков
2 728 просмотров · 3 года назад
BWANA YESU asifiwe, karibu na ahsante kwa kujumuika nasi katika ibada njema, ya kipekee ya NYUMBA KWA NYUMBA. Ibada hii ya NYUMBA KWA NYUMBA ni maalum sana inayosimamia KUTOA MAPANDIKIZO YA GIZA KWENYE KILA NYUMBA NA FAMILIA NA KURUHUSU UFALME WA MUNGU USIMAME inayokujia leo Jumapili ya tarehe 13 Agosti 2023 mubashara kutoka Heart of Worship Ministry HQ Mbezi Beach Dar Es Salaam. Ibada hii ina kichwa cha somo "KUJENGA UFALME WA MUNGU NA KUBOMOA UFALME WA GIZA NYUMBA KWA NYUMBA" na neno la MUNGU kutoka kitabu cha Danieli 2:44 "Na katika siku za wafalme hao Mungu wa mbinguni atausimamisha ufalme ambao hautaangamizwa milele, wala watu wengine hawataachiwa enzi yake; bali utavunja falme hizi zote vipande vipande na kuziharibu, nao utasimama milele na milele.". Ibada hii inaongozwa na Mtumishi wa Mungu Amoke Nkonoki.