IBADA YA JUMAPILI - USHARIKA WA UNGA LTD .
Tangazeni Injili Choir
0:00 / 0:00
IBADA YA JUMAPILI - USHARIKA WA UNGA LTD .
180 просмотров · Трансляция закончилась 5 мес. назад
Tangazeni Injili Choir
1,34 тыс. подписчиков
180 просмотров · Трансляция закончилась 5 мес. назад
Ibada ya siku ya Bwana ya 1 baada ya Pasaka. Neno la Leo ni "Yesu Kristo Ajidhihirisha kwa Wanafunzi wake. MAsomo ya Leo ni Zaburi 145: 1 -9, Mdo 22: 6 - 16, Marko 16:14. Ibada ya Leo inaongozwa na Mchungaji Kiongozi Rev. MArko Maricha akisaidiana na Mwinjilisti Peter Togolai na Mwinjilisti Remen Kimaro. Tuendelee Kuwezesha Ujenzi kupitia namba zilizopo hapo chini. Mungu awabariki na muwe na ibada njema.