Sakata la wanafunzi wa sheria kufeli Law School latua bungeni, sababu zaanikwa
Mwananchi Digital
0:00 / 0:00
Sakata la wanafunzi wa sheria kufeli Law School latua bungeni, sababu zaanikwa
1 677 просмотров · 2 г. назад
Mwananchi Digital
1,23 млн подписчиков
1 677 просмотров · 2 г. назад
Mbunge wa Manyoni Mashariki (CCM), Dk Pius Chaya ameitakka Serikali kufanya utafiti kuhusu mtaala wa sheria wa Law School kwani kutokana na utafiti aliofanya amebainisha yawezekana kufeli kwa wanafunzi hao kunatokana na mambo matatu ikiwemo vyuo wanavyotoka kutofautiana, kusoma masomo mengi kwa muhula wa masomo pamoja na utoaji wa matokeo ya mitihani na majaribio kuchelewa
Dk Chaya ameyasema hayo leo Jumatatu, Aprili 29, 2024 wakati akichangia mjadala wa makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Katiba na Sheria kwa mwaka wa fedha 2024/2025.