#LIVE:MISA TAKATIFU, YA JUBILEI YA MIAKA 25 YA UTAWA YA PADRE TOBIAS AMUKA NA PADRE KASHINJE
0:00 / 0:00
#LIVE:MISA TAKATIFU, YA JUBILEI YA MIAKA 25 YA UTAWA YA PADRE TOBIAS AMUKA NA PADRE KASHINJE
629
629
Misa ya kumshukuru Mungu kwa ajili ya Jubilei ya Miaka 25 ya Maisha ya Utawa ya Padre Thobias Amuka na Padre Zakaria Kashinje. Maadhimisho haya makubwa yanafanyika ndani ya Parokia ya Mt. Augustino - Temboni Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam.
Tunawapongeza sana Watumishi wa Mungu kwa uaminifu, upendo, na utumishi wao uliotukuka kwa miaka 25 ndani ya Shamba la Bwana. Mungu awabariki na kuwazidishia neema katika utume wao!.🙏
#JubileiYaFedha #Miaka25YaUtawa #JimboKuuDarEsSalaam #KanisaKatoliki #WatawaWetu #Shukrani