WAZIRI WA FEDHA AWEKA MKAZO KWENYE MITAJI KUFIKIA DIRA 2050
MZAWA TV Online
0:00 / 0:00
WAZIRI WA FEDHA AWEKA MKAZO KWENYE MITAJI KUFIKIA DIRA 2050
49 просмотров · 1 день назад
MZAWA TV Online
21,1 тыс. подписчиков
49 просмотров · 1 день назад
#mzawatv Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar, amesema upatikanaji wa mitaji, uwekezaji katika viwanda na uboreshaji wa mazingira ya biashara ni muhimu katika kufanikisha malengo ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, inayolenga kukuza uchumi wa Tanzania kutoka takriban dola za Marekani bilioni 100 hadi dola trilioni moja ifikapo mwaka 2050.
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►YOUTUBE: / @mzawatvonline
►INSTAGRAM: / mzawaonline
►TWITTER: / mzawaonline
►FACEBOOK: / mzawaonline
►WEBSITE: https://mzawa.co.tz/