Usiwe Mwepesi wa Kukubali Kila Ushauri – 2 Wafalme 6:24-30
Love Of Christ Ministries TZ
0:00 / 0:00
Usiwe Mwepesi wa Kukubali Kila Ushauri – 2 Wafalme 6:24-30
71 просмотр · 1 г. назад
Love Of Christ Ministries TZ
48 подписчиков
71 просмотр · 1 г. назад
Si kila ushauri unaopokea ni wa kufuatwa – tafuta hekima kutoka kwa Mungu kabla ya kufanya maamuzi.
Utajifunza:
-Hatari ya maamuzi ya haraka bila tafakari ya kiroho
-Umuhimu wa kutafuta ushauri kutoka kwa Mungu, si kwa watu pekee
-Jinsi ya kubaki imara kiimani hata katika vipindi vya shida
Wasiliana nasi kwa maombi, ushauri, au huduma zaidi kupitia:
Simu/WhatsApp: 0655 131 444