Перейти к содержимому

EPISODE 71: LISSU AMPA POLE GOLUGWA BAADA YA KUMALIZIKA CROSS EXAMINATION, HIKI KIMETOKEA MAHAKAMANI

UHURU MEDIA ONLINE

0:00 / 0:00

EPISODE 71: LISSU AMPA POLE GOLUGWA BAADA YA KUMALIZIKA CROSS EXAMINATION, HIKI KIMETOKEA MAHAKAMANI

39 630 просмотров · 10 часов назад
UHURU MEDIA ONLINE
348 тыс. подписчиков
39 630 просмотров · 10 часов назад
EPISODE 71: Kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu imeendelea Leo na upande wa utetezi wakiendelea kujitetea ambapo shahidi namba 3 wa upande wa Utetezi Aman Sam Golugwa amemaliza kutoa Ushahidi wake rasmi baada ya kufanyiwa cross examination yaani kuhojiwa maswali ya dodoso na mawakili wa upande wa jamhuri na Tundu Lissu kumuongoza kwenye Re Examination fatilia yaliyojili #tundulissu #mahakamani