MADA: UTUKUFU WA URITHI WA WOKOVU WETU
Sonship Spirit Television
0:00 / 0:00
MADA: UTUKUFU WA URITHI WA WOKOVU WETU
45 просмотров · 16 ч назад
Sonship Spirit Television
441 подписчик
45 просмотров · 16 ч назад
WOKOVU SI BADILIKO LA TABIA, BALI NI BADILIKO LA ASILI!
Wokovu ni nini hasa?
Je, ni suala la dini, kutunza sheria, na kubadilisha tabia, au ni kazi ya Mungu ya kumrejesha mwanadamu katika kusudi lake la asili?
“Wokovu ni kazi ya Mungu kwa Mwanadamu, si kazi ya Mwanadamu kwa Mungu.”
Katika kipindi hiki, tutafunua utukufu wa wokovu katika Ufahamu wa Ufalme wa Mungu kama kazi kamilifu ya Mungu kupitia Yesu Kristo, zawadi ya Kifalme kwa wanadamu, na urejesho wa kusudi la Mungu kwa mwanadamu kuwa mwana na kuhani wa Kifalme.
📅 JUMATATU, 2 NOVEMBA 2026
🕛 SAA 6:00 MCHANA
📺 SONSHIP SPIRIT TV — YOUTUBE PREMIERE
🔔 JIUNGE NA PREMIERE! Fungua kiungo cha kipindi, bonyeza Notify me, na jiandae kuungana nasi wakati kipindi kinaanza.
Usikose nafasi hii ya kutafakari upya utukufu wa urithi wa wokovu wetu ndani ya Kristo Yesu.
SHALOM WANA NA URITHI WA MUNGU BABA KATIKA KRISTO YESU!
#UtukufuWaUrithiWaWokovuWetu #SonshipSpiritTV #KingdomAndSonship #Wokovu