Перейти к содержимому

IGUNGA MABINGWA UMITASHUMTA 2024 MKOA WA TABORA

Cg Online Tv

0:00 / 0:00

IGUNGA MABINGWA UMITASHUMTA 2024 MKOA WA TABORA

345 просмотров · 2 года назад
Cg Online Tv
97,4 тыс. подписчиков
345 просмотров · 2 года назад
#CgOnlineTv Halmashauri ya wilaya ya Igunga imeibuka mshindi wa jumla katika mashindano ya Umoja wa Michezo na Taaluma kwa Shule za Msingi Tanzania-UMITASHUMTA ngazi ya mkoa wa Tabora ambapo mbali na kujikusanyia makombe mbalimbali wameibuka na ushindi wa bao 1-0 katika mchezo wa fainali mchezo wa soka dhidi ya Halmashauri ya Uyui mchezo uliopigwa uwanja wa chuo cha Reli mjini Tabora. Mgeni rasmi kwenye hafla ya kufunga mashindano hayo ngazi ya mkoa ni Kamanda wa polisi mkoa wa Tabora ,Kamishna msaidizi Mwandamizi wa Polisi, ASCP Richard Abwao. #20YenyeMamlaka #CgOnlineUpdates