Перейти к содержимому

Maisha ndani ya MV Bukoba | Siku isiyosahaulika | Cinematic short film

Divo studio

0:00 / 0:00

Maisha ndani ya MV Bukoba | Siku isiyosahaulika | Cinematic short film

4 507 просмотров · 1 месяц назад
Divo studio
244 подписчика
4 507 просмотров · 1 месяц назад
Safari ya kweli iliyobeba maumivu ya wengi, Historia ya kweli kuzama kwa Meli ya Mv Bukoba ni tukio lililoacha alama kubwa katika Mioyo ya watu wengi ulimwenguni. Filamu hii inasimulia maisha, mazingira na matukio yanayohusiana na meli hiyo, kwa mtazamo wa kina na wa kisinema. A Film by Fredrick Desdery (Divo) Location: Tanzania Based on True Story Tazama hadi mwisho, subscribe kwenye channel, bonyeza 🔔 notification bell na ushiriki video hii ili kuwafikia wengine. Divo Studio™ | 2026 #MVBukoba #MaishaNdaniYaMVBukoba #SikuIliyosahaulika #DivoStudio #Tanzania #BasedOnTrueStory #SwahiliFilm #TanzaniaHistory Follow Divo Studio on Instagram https://www.instagram.com/divostudio2... Facebook   / divoupdates   TikTok https://www.tiktok.com/@divostudio?is... Whatsapp: +255629190267