SIKILIZA SAUTI YAO - KWAYA YA MT JOHN PAUL WA PILI, MBEYA - JMC
KMK Media Tz
0:00 / 0:00
SIKILIZA SAUTI YAO - KWAYA YA MT JOHN PAUL WA PILI, MBEYA - JMC
1 111 просмотров · 8 дн. назад
KMK Media Tz
1,19 тыс. подписчиков
1 111 просмотров · 8 дн. назад
Karibu kutazama kipindi cha SIKILIZA SAUTI YAO. Leo tupo na kwaya ya Mt John Paul wa Pili, Jimbo Kuu Katoliki Mbeya, wakitushirikisha safari yao iliyopitia milima na mabonde lakini bado wakasimama imara na kupelekea kuandaa tamasha linalojulikana Kama MLIPUKO WA SIFA.
Kitu gani kilichowafanya kusimama imara hii Leo na kutoka kutambulika Kama Kwaya ya Mt Jude Thadey hadi kuwa Kwaya ya Mt John Paul wa Pili? Karibu ufuatilie.