KUTI KAVU - OFFICIAL VIDEO
Habari Njema Choir - Fpct Mikocheni "C"
0:00 / 0:00
KUTI KAVU - OFFICIAL VIDEO
1 084 просмотра · 6 месяцев назад
Habari Njema Choir - Fpct Mikocheni "C"
209 подписчиков
1 084 просмотра · 6 месяцев назад
Kutoka 20:1-6
[1]Mungu akanena maneno haya yote akasema,
[2]Mimi ni BWANA, Mungu wako, niliyekutoa katika nchi ya Misri, katika nyumba ya utumwa.
[6]nami nawarehemu maelfu elfu wanipendao, na kuzishika amri zangu.
wimbo huu unatukumbusha na kutufundissha kuwa matumaini yetu na Imani yetu tuielekeze kwa Mungu pekee maana yeye ndiye muweza wa kila kitu. Yeye niye Njia ya Kweli na Uzima.
Rudi kwa BWANA, Ubarikiwe.
#Ushuhuda #Gospel #MunguNiMwema #Imani #HopeInGod #goviral #god
#godlovesyou