Перейти к содержимому

YOUNG MINISTERS MENTORSHIP PROGRAM // 06 October 2026

GRAND IBADA GLOBAL

0:00 / 0:00

YOUNG MINISTERS MENTORSHIP PROGRAM // 06 October 2026

1 709 просмотров · Трансляция закончилась 4 дн. назад
GRAND IBADA GLOBAL
32,1 тыс. подписчиков
1 709 просмотров · Трансляция закончилась 4 дн. назад
#dripyana #theeveningsacrifice Bwana YESU Asifiwe sana! Tunamshukuru na kumbariki MUNGU kwa ajili yenu wote mliojiunga nasi katika Ibada hii ya YOUNG MINISTERS MENTORDHIP PROGRAM Karibuni katika mwezi mpya wa neema, mwezi wa GREAT EXPLOITS (MATENDO MAKUU). Kwa rehema za MUNGU, tunapokea Neno la RHEMA la mwezi huu kutoka katika Danieli 11:32: “...bali watu wamjuao Mungu wao watakuwa hodari, na kutenda mambo makuu.” Mwezi huu ni mwezi wa kumjua MUNGU kwa undani zaidi, kuwa hodari katika imani, na kutenda mambo makuu kwa nguvu na uweza wake. Ni wakati wa kuinuka katika ufahamu wa Mungu, kuimarika kiroho, na kuingia katika kiwango kipya cha matendo makuu yanayotokana na kumjua Yeye. KNOW GOD | BE STRONG | DO GREAT EXPLOITS Karibuni sana katika uwepo wa MUNGU, mahali ambapo tunajengwa, tunawezeshwa, na kuandaliwa kutenda mambo makuu kwa utukufu wa Jina la YESU KRISTO. Karibuni sana. Praise the Name of Our Lord JESUS CHRIST! We bless GOD and give Him all the glory for everyone joining us today for WORSHIP SIEGE // GREAT EXPLOITS Welcome to a new month of grace, a month of GREAT EXPLOITS By the mercies of GOD, we embrace this month's RHEMA WORD from Daniel 11:32: “...but the people who know their God shall be strong, and carry out great exploits.” This month is a divine invitation to know GOD more intimately, grow strong in faith, and accomplish great exploits through His power and might. It is a season of deeper revelation, spiritual strength, and extraordinary accomplishments through the knowledge of our GOD. KNOW GOD | BE STRONG | DO GREAT EXPLOITS You are warmly welcome to HELP FROM ZION, where we are equipped, strengthened, and empowered to rise into the fullness of what GOD has prepared for us. May this month mark the beginning of GREAT EXPLOITS in every area of your life, to the glory of our Lord JESUS CHRIST. Welcome, and be richly blessed! Number ya Testimonies // Fruits of the month: Kutuma shuhuda za matunda ya mwezi, mambo MUNGU amekutendea. Tafadhali tuandikie message au WhatsApp kwenye namba hii +255754637055. To send in your fruits of the month //Testimonies: To testify of all the wonderful and marvelous acts of GOD in your life, please write us a message or WhatsApp via this number: +255754637055. Kuwa Partner Kuwa Partner wa huduma ya Grand Ibada, ungependa kuiungamanisha na yale MUNGU anayofanya kwenye hii huduma, tafadhali tuma ujumbe, ukijitambulisha jina lako, na kutamka namna gani ungependa kuwa partner wa Huduma. Tafadhali tuandikie message au WhatsApp kwenye namba hii +255754637055. To partner with GOD in what HE is doing via this Grand Ibada Ministry, kindly send us a text introducing yourself and stating how you would love to partner with the Ministry. Kindly write us a text or WhatsApp on this number: +255754637055. SADAKA Namba zetu za sadaka ni: (These are ways to channel your offerings): CRDB BANK: 0133970722300 GRAND IBADA Swift Code: CORUTZTZ Mpesa/Terra/Wave/NALA: +255754637055 IPYANA PETER KIBONA MPESA LIPA NAMBA: 5004625 GRAND IBADA JOINING OUR ONLINE EVANGELISM CLASSES Ukiwa umempokea Bwana YESU Kristo kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yako, tunakushauri utafute kanisa la kiroho lililopo karibu na wewe, kuhudhuria mafundisho yenye kukukuza kiroho. Pia, kama ungependa kujiunga na ma-group ya GRAND IBADA, group hizi huwa zina madarasa ya kiroho, yaliyopo chini ya huduma ya GRAND IBADA inayoongozwa na Roho Mtakatifu kupitia Mtumishi wake Dr. Ipyana. RATIBA YA MAOMBI YA HUDUMA YA GRAND IBADA, INAYOONGOZWA NA WATUMISHI WA MUNGU, DR. IPYANA NA MKE WAKE, THEODORA. (PRAYER SCHEDULE FOR THE GRAND IBADA MINISTRY, LED BY THE SERVANTS OF GOD, DR. IPYANA AND HIS WIFE, THEODORA) 1. Kila SIKU - (EveryDay) 10:00 Alfajiri - 11:00 Alfajiri 4:00am - 5:00am EAT 2. WEEKLY - (Siku za Wiki) Jumatatu - Ijumaa // Monday - Friday 7:00 mchana - 8:00 mchana 1300hrs - 1400hrs EAT 3. WEEKEND // (Wikiendi) Jumamosi & Jumapili //Saturday & Sunday 3:00 usiku - 4:00 usiku 2100hrs - 2200hrs EAT 4. BIBLE STUDY // (MAFUNZO YA BIBLIA) Wednesday // Jumatano 3:00 usiku - 4:00 usiku 2100hrs - 2200hrs EAT 5. Alhamisi //Thursday Praying and Fasting (Maombi ya Mfungo) 12HRS //Masaa Kumi na Mbili Kujiunga na maombi, Bonyeza link hii.👇🏻: (To join the prayers, use the link below👇🏻): https://meet.google.com/kwn-omab-zur (LINK ONLY ACCESSIBLE THROUGH GOOGLE MEET) Karibuni Sana. Warmly Welcome.