ALIYE NDANI YANGU || Nayaweza Yote || Valeriana Mayagaya & friends
Valeriana Simon
0:00 / 0:00
ALIYE NDANI YANGU || Nayaweza Yote || Valeriana Mayagaya & friends
4 484 просмотра · 4 года назад
Valeriana Simon
18,7 тыс. подписчиков
4 484 просмотра · 4 года назад
Ukiwa katika hali ya kudhani huwezi kufanya jambo fulani, huna uwezo nalo, Kumbuka kujisemea neno hili la Mungu:
NAYAWEZA MAMBO YOTE KATIKA KRISTO ANITIAYE NGUVU. MAANA YEYE ALIYENDANI YANGU NI MKUU KULIKO WA DUNIA!
Yarudie mara nyingi kadiri uwezavyo
#Kwaya #nyimbozainjili #nayawezamamboyote #Kanisakatoliki #gospelmusic
Daima tukumbuke kuwa Mungu yumo ndani yetu. na ya kwamba ana nguvu kupita mwovu shetani. Shetani ni wa dunia, Hivyo Mungu wetu ni mkuu kuliko wa dunia.
tukishaelewa hivyo, basi mazuri yote tufanyayo ni kwa nguvu ya Yesu Kristo aliye ndani yetu. Mt. Paulo anasema hilo waziwazi. Wafilipi 4:13.
Tumtegemee Yesu Kristo katika yote. Tutafanikiwa sana.
CONTACTS
Email: asantedaima@gmail.com
Facebook: Valeriana Mayagaya
Instagram: Valeriasimon783
YouTube: Valeriana Simon