WALIODAIWA KUTAPELI ENEO MADALE NA KUWAFUKUZA KWENYE NYUMBA WAFAFANUA “AMRI YA MAHAKAMA IHESHIMIWE”
Millard Ayo
0:00 / 0:00
WALIODAIWA KUTAPELI ENEO MADALE NA KUWAFUKUZA KWENYE NYUMBA WAFAFANUA “AMRI YA MAHAKAMA IHESHIMIWE”
20 906 просмотров · 11 часов назад
Millard Ayo
6,19 млн подписчиков
20 906 просмотров · 11 часов назад
Wananchi zaidi ya kaya 15 zilizopo Mtaa wa Nyakasangwe, Kata ya Wazo, Wilaya Kinondoni jijini Dar es Salaam wamejikuta katika hali ya taharuki baada ya kutolewa vitu vyao nje katika nyumba zao
Wananchi hao wamedai chanzo cha tukio hilo ni mgogoro uliopo baina yao na wale waliowauzia eneo hilo huku wananchi hao wakidai kumiliki ardhi hizo kihalali
kwa upande wa mlalamikiwa AyoTV imempata mwakilishi wa familia hiyo inayodai kumiliki eneo hilo tangu mwaka 1994 liliponunuliwa
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Saad Mtambule ameeleza kuufahamu mgogoro huo na kuwa kwa nyakati tofauti pamekuwa na kesi juu ya umiliki wa eneo hilo