Uvikwaji kanzu na huduma ya usomaji na usindikizi kwa mafrateri wa seminari kuu Peramiho
Frate Andrew
0:00 / 0:00
Uvikwaji kanzu na huduma ya usomaji na usindikizi kwa mafrateri wa seminari kuu Peramiho
2 240 просмотров · 2 года назад
Frate Andrew
319 подписчиков
2 240 просмотров · 2 года назад
Maadhimisho ya uvikwaji kanzu kwa waseminari wa falsafa ya kwanza na kuwapa huduma ya usomaji na usindikizi mafrateri wa falsafa ya tatu na teilojia ya kwanza. Misa imeadhimishwa ba Askofu John Ndimbo wa jimbo katoliki la Mbinga, hapa seminari kuu ya Mt. Augustino Peramiho