Перейти к содержимому

Ibada ya Asubuhi | 06 - 10 - 2026 | Mch. Israel Mosses Mbise

Azania Front Cathedral

0:00 / 0:00

Ibada ya Asubuhi | 06 - 10 - 2026 | Mch. Israel Mosses Mbise

364 просмотра · Трансляция закончилась 1 ч назад
Azania Front Cathedral
6,02 тыс. подписчиков
364 просмотра · Трансляция закончилась 1 ч назад
Karibu katika Ibada ya Asubuhi kutokea hapa kanisa Kuu Azania Front Posta Dar Es Salaam. 🎙️Wiki hii tuko na mtumishi wa Mungu : Mchungaji Israel Mosses Mbise 👉 Tuna somo lenye kichwa :- TAMBUA NAFASI YA MSALABA WA YESU KRISTO KATIKA KUTUA MIZGO ULIYONAYO 📋1 WAKORINTHO 1: 18 18. Kwa sababu neno la msalaba kwao wanaopotea ni upuzi, bali kwetu sisi tunaookolewa ni nguvu ya Mungu. MATHAYO 11: 28 - 30 28. Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha. 29. Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo; nanyi mtapata raha nafsini mwenu; 30. kwa maana nira yangu ni laini, na mzigo wangu ni mwepesi. .............................. MWANZO 3:9 9. Bwana Mungu akamwita Adamu, akamwambia, Uko wapi? ............................ 👉 KWA MAOMBI NA USHAURI : ☎️ +255 748 290 290 - MCH. VICTOR MAKUNDI 👉 SADAKA: LIPA NAMBA [ M-PESA ]: 579 579 4 ............................ Shiriki nasi zaidi kupitia: /Instagram page:   / kkkt_azaniafront_cathedral   /Facebook page: https://www.facebook.com/profile.php?... /Youtube page:    / @azaniafrontcathedral   /Website : https://azaniafront.or.tz/ #azaniafrontcathedral #ibadahonline #injiliyakristo #lutheranchurchlivetoday