Перейти к содержимому

Tu Watendakazi || Kwaya ya Vijana- Mwenge

Mwenge SDA Church

0:00 / 0:00

Tu Watendakazi || Kwaya ya Vijana- Mwenge

321 просмотр · 4 года назад
Mwenge SDA Church
18,5 тыс. подписчиков
321 просмотр · 4 года назад
Karibu kuungana nasi katika mfululizo wa wiki ya maombi na semina za #Uwakili, linaloendeshwa na Mchungaji Elitabu Kajiru, mada kuu ikiwa "Kumtolea Mungu Kwa Mpango Endelevu" Ukiwa na swali, uhitaji wa maombi, ubatizo wasiliana na Mchungaji Elitabu Kajiru +255677049358 au +255 784 458 957. Kama una ushauri usisite kutuma kwa namba +255 713 215 930 barua pepe live@mwengesdachurch.or.tz. Karibu ku-SUBSCRIBE ili uwe sehemu ya wengi wanaobarikiwa: https://bit.ly/SUBSCRIBE-Now, watumie na marafiki pia. Karibu pia kutembelea, ku-follow, ku-Like na ku-Comment kwenye: Tovuti yetu: www.mwengesdachurch.or.tz Facebook Page: Mwenge SDA Church Live Instagram: mwengesdachurchlive SADAKA YA MAJENGO Unaweza pia kutoa SADAKA ya MAJENGO kupitia Mpesa, LIPA namba: 5786348 , Jina: MWENGE SDA CHURCH (MAJENGO), kisha kutuma ujumbe kwa WhatsApp no:+255756869194 (Mhazini wa Kanisa- Silas Bisanda) SADAKA ya MAJENGO: CRDB Bank Acc no: 015C 493 232 2501, Jina: SDA Church Mwenge MAJENGO, Mlimani City Branch, kisha kutuma slip kwa WhatsApp no:+255756869194 (Mhazini wa Kanisa- Silas Bisanda) ZAKA & SADAKA Unaweza pia kutoa ZAKA na SADAKA mbalimbali kupitia Mpesa, LIPA namba: 5810262 , Jina: MWENGE SDA CHURCH, kisha kutuma ujumbe kwa WhatsApp no: +255756869194 (Mhazini wa Kanisa- Silas Bisanda). Unaweza kutoa pia ZAKA na SADAKA mbalimbali kupitia CRDB Bank Acc no: 015C 493 232 2500, Jina la Account: SDA Church Mwenge, Mlimani City Branch, kisha kutuma slip kwa WhatsApp no:+255756869194 (Mhazini wa Kanisa- Silas Bisanda) Mungu akubariki. Karibu ku-SUBSCRIBE ili uwe sehemu ya wengi wanaobarikiwa: https://bit.ly/SUBSCRIBE-Now, watumie na marafiki pia. Karibu pia kutembelea, ku-follow, ku-Like na ku-Comment kwenye: Tovuti yetu: www.mwengesdachurch.or.tz Facebook Page: Mwenge SDA Church Live Instagram: mwengesdachurchlive Mungu akubariki.