Перейти к содержимому

TAARIFA ya DAKTARI AJALI ILIYOUA WATATU IRINGA BAADA ya LORI KUFELI BREKI na KUGONGA BAJAJI...

Global TV Online

0:00 / 0:00

TAARIFA ya DAKTARI AJALI ILIYOUA WATATU IRINGA BAADA ya LORI KUFELI BREKI na KUGONGA BAJAJI...

5 026 просмотров · 3 года назад
Global TV Online
5,97 млн подписчиков
5 026 просмотров · 3 года назад
TAARIFA ya DAKTARI AJALI ILIYOUA WATATU IRINGA BAADA ya LORI KUFELI BREKI na KUGONGA BAJAJI... Watu watatu wamepoteza maisha na wengine wanne kujeruhiwa baada ya Lori kufeli breki na kugonga Bajaji Mbili zilizopo mbele yake. Ajali hii imetokea Asubuhi ya Leo Jumamosi tarehe 4, Machi majira ya saa mbili Asubuhi eneo la Mlima wakushuka Samora kwenda Ipogolo Mjini Iringa ambapo mashuhuda wanaeleza kuwa Lori hilo lilifeli breki na kugonga Bajaji wakati likitelemka Mlima huo. Kwa mujibu wa Mganga mfawidhi wa kituo cha Afya Ipogolo Mathias Maheri amethibisha kuwapokea watu watatu wakiwa tayari wamepoteza maisha pamoja majeruhi wanne (wakaka wawili, Mdada mmoja na Mtoto mmoja) ambao wote baada ya kupatiwa matibabu wameruhusiwa kutoka kituoni hapo. Aidha Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa ACP Allan Bukumbi amesema dereva huyo wa Lori anashikiliwa na jeshi hilo huku uchunguzi Bado ukiwa unaendelea ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST:    • GLOBAL COMEDY/MOVIES   ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI:    • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!   ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline