Перейти к содержимому

UFUGAJI WA NG'OMBE WA MAZIWA KIBIASHARA zingatia ujenzi wa banda bora

Shamba Darasa TV

0:00 / 0:00

UFUGAJI WA NG'OMBE WA MAZIWA KIBIASHARA zingatia ujenzi wa banda bora

7 032 просмотра · 5 л. назад
Shamba Darasa TV
27,8 тыс. подписчиков
7 032 просмотра · 5 л. назад
BANDA BORA. Band alijengwe sehemu ya mwinuko mbali kidogo na makazi ya watu na liwe na sifa zifuatazo:- Uwezo wa kumkinga ng’ombe dhidi ya mvua, upepo, jua kali na baridi. Kuta imara zenye matunda au madirisha kwa ajili ya kuingiza hewa na mwanga wa kutosha, Sakafu yenye mwinuko upande mmoja ili isiruhusu maji na uchafu kutuama. Lijengwe katika hali ya kuruhusu kufanyiwa usafi kwa urahisi kila siku, na sakafu ngumu ya zege au udongo ulioshindiliwa na kuweka malalo. Paa lisilovuja na JIFUNZE! Ujenzi na sifa za banda bora la ng'ombe wa maziwa UFUGAJI BORA WA NG'OMBE WA MAZIWA BANDA BORA LA NG'OMBE WA MAZIWA - BANDA/ZIZI BORA LA NG'OMBE - ufugaji-bora-wa-ng-ombe-wa-maziwa . Aina bora za ng'ombe wa maziwa, banda na namna ya ... Mradi Wa Ng Ombe Wa Maziwa Ujenzi Na Sifa Za Banda la ngombe wa maziwa pdf #mkulimasmart #shambadarasa Njia bora ya utunzaji wa ng'ombe wa maziwa - Mkulima Mbunifu bei ya ng'ombe wa maziwa 2020 banda la ng'ombe in english makabila ya ng'ombe wa maziwa uuzaji wa maziwa bei ya ndama wa maziwa umuhimu wa maziwa ya ngombe biashara ya ufugaji wa ng ombe nchi maarufu kwa ufugaji wa ng ombe wa maziwa duniani