MZEE HASSAN RAJAB PETO ANAKUSUDIA KUUFIKISHA UONGOZI WA KIJIJI KWA MKUU WAWILAYA - KILINDI TANGA....
Dege online tv
0:00 / 0:00
MZEE HASSAN RAJAB PETO ANAKUSUDIA KUUFIKISHA UONGOZI WA KIJIJI KWA MKUU WAWILAYA - KILINDI TANGA....
43 просмотра · 11 дней назад
Dege online tv
12 подписчиков
43 просмотра · 11 дней назад
Mkazi wa kijiji cha Mswaki,Kata ya Msanja Wilaya ya Kilindi, Mkoa wa Tanga, Mzee Hassan Rajab Peto anakusudia kuifikisha uongozi wa serikali ya kijiji hicho kwa Mkuu wa Wilaya hiyo kupinga amri ya kumtaka asilime kwenye mashamba anayolima kwa zaidi ya miaka 50 kwa madai eneo hilo ni malisho. Mzee Peto mwenye watoto 19 wenye familia zao anadai kuwa uongozi wa kijiji hicho umemtaka kuachia mashamba hayo ndani ya mwezi mmoja jambo analodai kuwa ni hujuma kwani awamu zote za uongozi hajawahi kupewa tuhuma hizo. Anasema lengo la kufika kwa Mkuu wa Wilaya ni kutaka asitishe njama hizo za kunyang:anywa ardhi yake kwani hakubaliani na agizo hilo na kwamba hajaelezwa wapi alime.
#Degeonlinetv