LIVE: WIMBO HALELUYA KUU 2022 KKKT IRINGA
Makutano TV
0:00 / 0:00
LIVE: WIMBO HALELUYA KUU 2022 KKKT IRINGA
3 984 просмотра · 4 года назад
Makutano TV
4,15 тыс. подписчиков
3 984 просмотра · 4 года назад
Kwa mara ya kwanza wimbo huu uliimbwa Nchini London Uingereza mnamo mwaka 1741.
Takribani miaka zaidi ya 280 tangu Mtunzi wa wimbo huu George Frideric (Frederick) Von Handel alipotunga wimbo huu mwaka 1740.
Licha ya dharula ya Dunia ya Janga la Corona, Leo Kwaya Kuu KKKT Usharika wa Iringa Mjini wameimba Haleluya Kuu, kutukuza Mungu kwa utukufu wake MKUU.