Перейти к содержимому

DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 22.09.2026 | Jioni | Swahili Habari leo | Podcast

DW Kiswahili

0:00 / 0:00

DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 22.09.2026 | Jioni | Swahili Habari leo | Podcast

3 019 просмотров · Трансляция закончилась 4 часа назад
DW Kiswahili
335 тыс. подписчиков
3 019 просмотров · Трансляция закончилась 4 часа назад
Miongoni mwa ripoti utakazosikia +++Kwa mara nyingine tena, Zanzibar imeandika historia ya kisiasa, miezi 11 baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. +++ Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres, ameyatolea wito mataifa makubwa yanayoongoza katika teknolojia ya AI ya Marekani na China, kuanza mazungumzo kuhusu mustakabali wa teknolojia hiyo inayokuwa kwa kasi +++ Iran na Marekani zimedokeza hii leo juu ya uwezekano wa kufufua mazungumzo ya kumaliza mzozo baina yao #dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliPodcast /Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.