Перейти к содержимому

ONE TO ONE NA SESSION MAALUM:KUSHUGHULIKA NA NDOTO ULIZOOTA ZAMANI LAKINI UNAONA ZINA UHAI HATA SASA

Minister Mocky

0:00 / 0:00

ONE TO ONE NA SESSION MAALUM:KUSHUGHULIKA NA NDOTO ULIZOOTA ZAMANI LAKINI UNAONA ZINA UHAI HATA SASA

4 511 просмотров · Трансляция закончилась 3 г. назад
Minister Mocky
21,8 тыс. подписчиков
4 511 просмотров · Трансляция закончилась 3 г. назад
BWANA YESU asifiwe mpendwa, karibu na ahsante kwa kujumuika nasi katika ibada na kipindi cha kwanza cha ibada yetu nzuri ya tarehe 14 Mei 2023, inayokujia na kukufikia mubashara kutoka kutoka Heart of Worship Ministry HQ Mbezi Beach Dar Es Salaam. Ibada hii ya kipindi cha kwanza ni maombi ya awali ya mtu mmoja mmoja maalum kabisa kwa ajili ya kushughulikia changamoto zote ikiwemo unachotaka kitokee kwenye uchumi wako na wa familia. Pia tuna session maalum ya maelekezo maalum kabisa ya KUSHUGHULIKA NA NDOTO ULIZOOTA ZAMANI LAKINI UNAONA ZINA UHAI HATA SASA. Katika kipindi hiki milango ya mashetani itafungwa na malaika wataanza kuwepo kwenye ndoto, maono na mafunuo yako yote. Pia katika kipindi hiki, MUNGU amekusudia kufanya jambo jipya sana kwenye maisha yetu ya kiroho sawa na Neno la MUNGU kutoka kitabu cha Isaya 43:19, "Tazama, Nitatenda neno jipya; sasa litachipuka; je! Hamtalijua sasa? Nitafanya njia hata jangwani, na mito ya maji nyikani." Kipindi na ibada hii maalum inaongozwa na mtumishi wa Mungu Amoke Nkonoki.