Перейти к содержимому

Madereva walalamikia vibali kutoka Latra

Mwananchi Digital

0:00 / 0:00

Madereva walalamikia vibali kutoka Latra

2 013 просмотров · 4 года назад
Mwananchi Digital
1,22 млн подписчиков
2 013 просмотров · 4 года назад
Mwenyekiti wa Wamiliki wa usafiri wa kukodi jijini Dar es Salaam, Yustaki Msoka akizungumza kwa niaba ya wamiliki wenzake kuhusu utaratibu wa kupata vibali vya kusafirishia kutoka Latra ambavyo vimekuwa changamoto kubwa kwa sasa. Wamiliki na wadau hao wameiomba serikali ikae na mamlaka husika kujadili namna ya upatikanaji bora wa vibali hivyo vya kusafirishia ili kuepuka usumbufu wanaoupata madereva hasa wakiwa njiani na abiria wao. Alisema hayo jijini Dar es Salaam leo