HUMAN NATURE vs SPIRIT NATURE — Wewe Unaishi Kwa Ipi?
Musa Akilimali
0:00 / 0:00
HUMAN NATURE vs SPIRIT NATURE — Wewe Unaishi Kwa Ipi?
4 просмотра · 2 недели назад
Musa Akilimali
28 подписчиков
4 просмотра · 2 недели назад
Kila mwanadamu ana upande wa human nature na anahitaji kujifunza kuishi kwa kuongozwa na Spirit nature. Human nature inaweza kutupeleka kwenye tamaa, hasira, wivu na mambo ya mwili. Lakini Spirit nature inatufundisha upendo, uvumilivu, kujizuia, amani na kumfuata Mungu.
📖 “Enendeni kwa Roho, wala hamtatimiza kamwe tamaa za mwili.” — Wagalatia 5:16
Jifunze kuitambua nature inayokuongoza kila siku, na chagua kumkaribia Mungu zaidi. 🙏🏽
#HumanNature #SpiritNature #HolySpirit #Bible #ChristianMotivation #Christianity #God #Faith #Prayer #SpiritualGrowth #BiblicalTeaching #Motivation #Mungu #Kiswahili