Перейти к содержимому

DALILI ZA NGUVU NDOGO KATIKA ULIMWENGU WA ROHO

BORN AGAIN ASSEMBLY_TV

0:00 / 0:00

DALILI ZA NGUVU NDOGO KATIKA ULIMWENGU WA ROHO

118 просмотров · 1 месяц назад
BORN AGAIN ASSEMBLY_TV
101 подписчик
118 просмотров · 1 месяц назад
📖 SOMO: DALILI ZA NGUVU DOGO KATIKA ULIMWENGU WA ROHO Karibu kwenye somo hili lenye mafundisho ya kujenga imani na kumtia moyo kila anayetafuta kumkaribia Mungu. Leo tutajifunza kuhusu dalili za nguvu ndogo katika ulimwengu wa roho, jinsi zinavyojitokeza katika maisha ya mtu, na namna ya kuimarisha maisha ya kiroho kupitia Neno la Mungu na maombi. 🙏 Usisahau: ✅ Like Video ✅ Subscribe kwenye channel ✅ Bonyeza kengele (🔔) ili usikose mafundisho mengine. Andika maoni yako kwenye comment👇 #DaliliZaNguvuDogo #MafundishoYaBiblia #Maombi #Imani #UlimwenguWaRoho #Injili #YesuKristo #NenoLaMungu #SpiritualGrowth #ChristianTeaching