Siri ya wanafunzi bora kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)
Azam TV
0:00 / 0:00
Siri ya wanafunzi bora kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)
6 015 просмотров · 3 года назад
Azam TV
3,33 млн подписчиков
6 015 просмотров · 3 года назад
Kama ilivyo ada kwa kila taasisi ya elimu nchini, kila mwishoni mwa mwaka wahitimu hufikia mwisho na waliofanya vema hupongezwa.
Kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Morning Trumpet imewaleta wanafunzi watatu bora zaidi kwa wahitimu wa mwaka huu.
Je, siri ya mafanikio yao ni ipi? Wasikilize