MAISHA YALIKUA MAGUMU NILIPOFIKA USA | NASOMEA UIGIZAJI | CHANGAMOTO KUBWA NI KUKATALIWA
ODA Reality
0:00 / 0:00
MAISHA YALIKUA MAGUMU NILIPOFIKA USA | NASOMEA UIGIZAJI | CHANGAMOTO KUBWA NI KUKATALIWA
54 572 просмотра · Трансляция закончилась 2 года назад
ODA Reality
55,1 тыс. подписчиков
54 572 просмотра · Трансляция закончилась 2 года назад
@jackbananalive ameeleza safari yake ya maisha kutoka Tanzania mpaka China kimasomo na kwasasa yupo USA- LA kwa masomo na kutafuta maisha.
Ndoto yake ya kua muigizaji mkubwa na kuingia Hollywood.. Changamoto za kazi yake na namna anapambania ndoto zake.
Rejection imekua ni changamoto kubwa kwenye kazi yake lakini hakati tamaa.
Please subscribe to his YouTube channel @jackbananalive
Thank you Jack for allowing this to be online
www.oda.international