MNYETI: MIMI NDIO RC WA GEITA, TAKUKURU NINA KAZI NA NYINYI
Daily News Digital
0:00 / 0:00
MNYETI: MIMI NDIO RC WA GEITA, TAKUKURU NINA KAZI NA NYINYI
4 137 просмотров · 4 недели назад
Daily News Digital
285 тыс. подписчиков
4 137 просмотров · 4 недели назад
GEITA: MKUU mpya wa Mkoa wa Geita, Alexander Mnyeti amewaomba wakazi wa Geita kumpokea ili afanye kazi kwa amani huku akiwataka kuacha mitazamo hasi dhidi yake na kutomwekea vinyongo.
Mnyeti ametoa kauli hiyo wakati akipokea mashine za kusaidia makuzi na maendeleo ya watoto waliozaliwa kabla ya wakati zilizotolewa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Geita.
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: / spotileo-176. .
HabariLeo: / habarileo
DailyNews: / dailynewstz
INSTAGRAM;
HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig...
SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid...
TWITTER;
Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09