KAMA WEWE (Wastahili) by Shekinah Fat (official video)
Shekinah fat
0:00 / 0:00
KAMA WEWE (Wastahili) by Shekinah Fat (official video)
574 просмотра · 10 дней назад
Shekinah fat
65 подписчиков
574 просмотра · 10 дней назад
Moyo wangu waku tamani
Nafsi yangu yaku itaji
Natamani sana niku pendeze
Tena zaidi niku fanane
Wewe
Kama wewe
Yesu niwe kama wewe
Ni pende kama wewe
Bila ma shurti bila hila
Yesu niwe kama wewe
Niwe na moyo musafi
Usiyo kuwa na kinyongo
Yesu niwe kama wewe
Nifanye baraka kwa wengine
Jisi ulivyo baraka kwetu
Yesu niwe kama wewe
Wewe
Kama wewe
Yesu niwe kama wewe