Перейти к содержимому

HUYU MUNGU NI MWEMA! Imani Kwaya Buhegwe Ndani Ya Anglikana Mwasenga Kigoma

TAYO MWASENGA KIGOMA

0:00 / 0:00

HUYU MUNGU NI MWEMA! Imani Kwaya Buhegwe Ndani Ya Anglikana Mwasenga Kigoma

209 просмотров · 6 дн. назад
TAYO MWASENGA KIGOMA
117 подписчиков
209 просмотров · 6 дн. назад
Karibu utazame na ubarikiwe na huduma ya uimbaji yenye upako na nguvu za Mungu kutoka kwa waimbaji wa Imani Kwaya waliotembelea Kanisa la Anglikana Mwasenga, Kigoma wakitokea Kijijini Buhegwe. ​Uimbaji huu umejaa amani, sifa na kuabudu vinavyoinua roho za wengi. Usisahau KUSUBSCRIBE, KULIKE, na KUSHARE ili kuendelea kupokea habari na vipindi mbalimbali kutoka kwenye akaunti yetu ya kanisa. ​Tazama pia: ​Mwasenga Anglikana Church Kigoma ​Huduma za Uimbaji na Sifa Kigoma ​Nyimbo mpya za Kwaya za Injili