Перейти к содержимому

Bony Mwaitege ft. Erick Simon – Asante Sana (Official Video)

ERICK SIMON и Bony Mwaitege Official

0:00 / 0:00

Bony Mwaitege ft. Erick Simon – Asante Sana (Official Video)

17 911 просмотров · 8 дней назад
ERICK SIMON и Bony Mwaitege Official
17 911 просмотров · 8 дней назад
ASANTE SANA — ERICK SIMON FT. BONNY MWAITEGE Kuna wakati unatazama maisha yako, unakumbuka ulikotoka, unapitia magumu na changamoto mbalimbali, lakini unapoona jinsi Mungu alivyokulinda mpaka leo, moyo wako unajawa na shukrani. ASANTE SANA MUNGU WANGU Huu ni wimbo wa kugusa moyo na kutukumbusha kwamba, pamoja na yote tunayopitia, bado tuna sababu nyingi za kumshukuru Mungu. Kama Mungu amekutendea mema, huu ni wakati wako wa kumwambia ASANTE SANA! 🥹🙌 🎤 *WAIMBAJI:* ERICK SIMON & BONNY MWAITEGE 🎵 *JINA LA WIMBO:* ASANTE SANA 🙏 Tazama video hii hadi mwisho, LIKE 👍, SHARE na COMMENT kwa kuandika *“ASANTE SANA MUNGU WANGU”* kama unayo sababu ya kumshukuru Mungu. 📢 Usisahau SUBSCRIBE kwenye channel yetu ya YouTube na kuwasha kengele 🔔 ili usikose nyimbo nyingine za kumtukuza Mungu. ❤️ *Mungu awabariki wote watakaosikiliza wimbo huu. Tushirikiane kuufikisha ujumbe huu kwa watu wengi zaidi!* #AsanteSana #ErickSimon #BonnyMwaitege #GospelMusic #NyimboZaInjili #SwahiliGospel #GospelSongs #PraiseAndWorship #MuzikiWaInjili #ShukraniKwaMungu