JAY MOE - Bongo Flava Honors Full Show | Dully Sykes, Sugu na Mwana FA watokea kutoa support
Bongo Project
0:00 / 0:00
JAY MOE - Bongo Flava Honors Full Show | Dully Sykes, Sugu na Mwana FA watokea kutoa support
980 просмотров · 3 г. назад
Bongo Project
9,57 тыс. подписчиков
980 просмотров · 3 г. назад
Juma Mohamed Mchopanga almaarufu Jay Moe alibless stage ya Bongo Flava Honors inayoandaliwa na Sugu akishirikiana na Alliance Française ya Dar es salaam. Jay Moe ametirika na vibao vyake vyote pendwa vya zamani kama Mvua na Jua, Kimya Kimya, Kama Unataka Demu, n.k. Usikose!
#jaymoe #sugu #bongoflavahonors #bongoproject #bongofleva
Bongo Project ni "project" mpya Tanzania inayojihusisha na kazi za sanaa na yenye lengo la kuhifadhi taarifa, historia na takwimu muhimu za sanaa ya Tanzania pamoja na wasanii wake.
--------------------
WEBSITE
--------------------
bongoproject.org
--------------------
SOCIAL MEDIA
--------------------
Instagram: / bongo_project
Facebook: / bongo-project-102566415873260
TikTok: / bongoproject
--------------------
CONTACT
--------------------
Email: info@bongoproject.org