JAMAA ANAZAMA KWENYE PENZI💞 NA MREMBO MNYANYUA VYUMA(02)
John Recap49🎬
0:00 / 0:00
JAMAA ANAZAMA KWENYE PENZI💞 NA MREMBO MNYANYUA VYUMA(02)
4 527 просмотров · 12 ч назад
John Recap49🎬
68,3 тыс. подписчиков
4 527 просмотров · 12 ч назад
Mapenzi ya kweli yanaweza kuchipua sehemu usiyoitarajia! ❤️ Kim ni msichana jasiri anayejitahidi kufikia ndoto zake katika mchezo wa kunyanyua vyuma, lakini maisha yake yanabadilika anapokutana na handsome boy anayegusa moyo wake ambae walishawahi kukutana zamani. Je, wawili hawa wataishia kuwa wapenzi? Tazama simulizi hii tamu ya mapenzi, vichekesho na changamoto za maisha katika Weightlifting Fairy Kim.
Karibu John Recap49 kwa recap kali za drama za Kikorea kwa Kiswahili! ❤️