Kitabu cha Maarifa | Kitabu kimoja faida zaidi ya 1,000
Rakims Spiritual
0:00 / 0:00
Kitabu cha Maarifa | Kitabu kimoja faida zaidi ya 1,000
2 524 просмотра · 2 года назад
Rakims Spiritual
45,7 тыс. подписчиков
2 524 просмотра · 2 года назад
Katika kitabu hiki utajifunza mambo yafuatayo;
YALIYOMO
1: Idadi ya kila nyota na fungu zake katika nyota 12
2: Maarifa ya nyota na Nyuso zake (Kujitambua zaidi)
3: Maarifa ya nyota na kazi zake
4: Kuzitambua sayari (Siku na Saa zake)
5: Azima 7 za hekima za kila siku (Sio za kichawi)
6: Talasimu za herufi zote na shughuli zake za heri na shari (kufanya chochote unachotaka)
7: Talasimu la kufungua kila kitu kilichofungwa chochote
8: Kufungua uume usiofanya kazi
9: Kufungua mtu asiyeoa au kuolewa
10: Kufungua maradhi yaliyoshindikana
11: Kuvunja hukumu (kuvunja kesi yoyote ile) Sina hakika kama nitawafundisha tukifikia
12: Kugombanisha watu (kwa heri au kwa shari)
13: Jini wa kurekebisha tabia za watu (Kama kumuachisha mtu umalaya au madawa)
14: Kutuma jini kukufanyia chochote
15: Kumvuta mtu umuoe au kuolewa nae (Haipanguki)
16: Kumfunga mwanamke au Mume awe wa peke yako
17: Kutibu ugonjwa wa moyo kwa maandishi (UHAKIKA)
18: Kumpa adui yako maradhi yasiyotibika
19: Jini wa kutandika viboko wachawi na wezi
20: Kufunga chochote unachotaka kijifunge hata account yoyote
21: Kumtumia adui yako jini amlawiti (sexually) hadi kufa SITAFUNDISHA
22: Kuzuia mume asioe mke mwingine
23: Kukinga watoto na kila homa, uchawi na maradhi
24: Jinsi ya kuona mambo yako yanavyokwenda mwaka mzima kabla hayajatokea (ANATUMIKA MALAIKA) Zoezi gumu kuliko yote katika kitabu hiki.