Перейти к содержимому

Sheikh Othman Maalim - Misingi ya Kuchagua Mke Anayefaa Kuoa

Muslimu Tv

0:00 / 0:00

Sheikh Othman Maalim - Misingi ya Kuchagua Mke Anayefaa Kuoa

7 667 просмотров · 5 лет назад
Muslimu Tv
10,6 тыс. подписчиков
7 667 просмотров · 5 лет назад
Sheikh Othman Maalim - Misingi ya Kuchagua Mke Anayefaa Kuoa Sheikh Othman Maalim leo amtuletea mawaidha mada ni Mke Anayefaa Kuolewa Sifa Za Kuchagua Mume Au Mke Uteuzi wa mwenza katika ndoa ni jambo muhimu sana ambalo linatakiwa lizingatiwe au sivyo tutaingia katika balaa kubwa katika maisha yetu ya hapa duniani. Ndoa ni jambo ambalo limepatiwa kipaumbele na Uislamu kwa kuwa ni Sunnah ya Manabii na Mitume na watu wema #SheikhOthmanMaalimMisingiyaKuchaguaMkeAnaefaaKuoa #mamboyakuzingatiakablayakuoa #mamboyakuangaliawakatiwakuchaguamchumba #mkeanayefaakuoa #talakakwenyendoa #edayandoahedayandoa #mawaidhayandoa Ndoa ni maumbile ambayo mwanadamu amepatiwa na Allah Aliyetukuka. Katika Uislamu hakuna utawa na kujitenga na majukumu ya kimaisha na kujenga jamii. Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: “Hakika Allah ametubadilishia utawa kwa Uislamu ulionyooka” (al-Bayhaqiy). Pia amesema: “Nami naoa wake, mwenye kukengeuka na Sunnah yangu basi si katika mimi” (al-Bukhaariy na Muslim).