MAGONJWA YA MILIPUKO YALIYOTABIRIWA NA MTUME MOHAMMAD S.A.W CORONA PIA IMO
Kishki Online TV
0:00 / 0:00
MAGONJWA YA MILIPUKO YALIYOTABIRIWA NA MTUME MOHAMMAD S.A.W CORONA PIA IMO
91 749 просмотров · 6 лет назад
Kishki Online TV
369 тыс. подписчиков
91 749 просмотров · 6 лет назад
Khutba ya Ijumaa iliyotolewa na Sheikh Nurdeen Kishk Masjid Ihsaan Maarufu Veternary, iliyopo Temeke Jijini Dar es Salaam Tarehe 27/3/2020, Mada ililenga juu ya janga la maradhi ya Corona yanayotikisha Dunia kwa sasa, je maradhi haya ni adhabu ya Mola wetu au maradhi ya kawaida kujua undani wa mada hii sikiliza hadi mwisho upate kuelimika.