Noel Kelupe ft Jenipha Mfikwa - Bado nangojea [Official audio]
NOEL KELUPE
0:00 / 0:00
Noel Kelupe ft Jenipha Mfikwa - Bado nangojea [Official audio]
555 просмотров · 2 нед. назад
NOEL KELUPE
149 подписчиков
555 просмотров · 2 нед. назад
🎶 BADO NANGOJEA – NOEL KELUPE | OFFICIAL AUDIO 🙏🔥 Kuna wakati katika maisha tunapitia changamoto, majaribu na nyakati ngumu kiasi cha kuhisi kana kwamba Mungu amenyamaza. Tunaomba, tunalia na kusubiri majibu, lakini siku zinazidi kwenda bila kuona mabadiliko. Hata hivyo, kuchelewa kwa majibu siyo kwamba Mungu ametusahau. Yeye hutenda kwa wakati wake, na ahadi zake hazishindwi kutimia. BADO NANGOJEA ni wimbo wa injili unaobeba ujumbe wa imani, uvumilivu na tumaini kwa kila anayemngojea Mungu katika maisha yake. 📖 Habakuki 2:3 — Maono haya yana wakati wake ulioamriwa; ijapokawia, yangojee. 🙏 Usikate tamaa, usiache kuomba, wala usipoteze imani. Mungu bado anafanya kazi hata pale ambapo macho yako hayaoni. ❤️ Ikiwa wimbo huu umegusa maisha yako, usisahau: 👍 KULIKE 💬 KUACHA COMMENT 🔔 KUSUBSCRIBE 📲 KUSHARE na wengine ili nao wabarikiwe. Je, ni jambo gani ambalo bado unamngojea Mungu akutendee? Tuandikie kwenye sehemu ya maoni, tuungane katika imani na maombi. 🎤 Artist: NOEL KELUPE 🎵 Song: BADO NANGOJEA ✝️ Genre: Gospel Music #BadoNangojea #NoelKelupe #GospelMusic #TanzaniaGospel #NyimboZaInjili #MunguNiMwaminifu #OfficialAudio