KUFUFUKA KWA YESU KRISTO | BISHOP JOSEPH SOITA | HOLY POWER REVIVAL MINISTRIES
Holy Power Revival Ministries
0:00 / 0:00
KUFUFUKA KWA YESU KRISTO | BISHOP JOSEPH SOITA | HOLY POWER REVIVAL MINISTRIES
336 просмотров · 3 г. назад
Holy Power Revival Ministries
798 подписчиков
336 просмотров · 3 г. назад
YOHANA 20:14 -18
14Naye akiisha kusema hayo, akageuka nyuma, akamwona Yesu amesimama, asijue ya kuwa ni Yesu. 15Yesu akamwambia, Mama, unalilia nini? Unamtafuta nani? Naye, huku akidhania ya kuwa ni mtunza bustani, akamwambia, Bwana, ikiwa umemchukua wewe, uniambie ulipomweka, nami nitamwondoa. 16Yesu akamwambia, Mariamu. Yeye akageuka, akamwambia kwa Kiebrania, Raboni! (Yaani, Mwalimu wangu). 17 Yesu akamwambia. Usinishike; kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba. Lakini nenda kwa ndugu zangu ukawaambie, Ninapaa kwenda kwa Baba yangu naye ni Baba yenu, kwa Mungu wangu naye ni Mungu wenu. 18Mariamu Magdalene akaenda, akawapasha wanafunzi habari ya kwamba, Nimemwona Bwana, na ya kwamba amemwambia hayo.